Kurasa

Ijumaa, 19 Februari 2016

Baada ya Headline za Chui na Tembo nchini India, hii ndio idadi ya Simba wanaoripotiwa kuingia mtaani Kenya

February 8 nchini  India,   Chui   alitengeneza headline baada ya kuingia kwenye majengo ya shule na kujeruhi wanafunzi 6 , siku tano mbe... Read More

Kuelekea mechi Simba Vs Yanga, TFF watafunga sehemu ya barabara hii Feb 20

February 20 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam klabu kongwe na zenye upinzani Tanzania Simba na Yanga zitashuka dimbani kupambana katika mchez... Read More

Jumatano, 20 Januari 2016

Islamic State wathibitisha Jihadi John aliuawa

Kundi la Islamic State limethibitisha kwamba mwanamgambo aliyetafutwa sana na mataifa ya Magharibi, aliyejulikana kama Jihadi John, ... Read More

Magufuli ahakikisha ushirikiano na Israel

RAIS John Magufuli amemhakikishia Waziri Mkuu wa Israel kuwa Serikali ya Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo tayari kus... Read More

Jumanne, 19 Januari 2016

Kaimu Posta Masta Mkuu wa TPC, Fortunatus Kapinga SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC) limesema litaboresha huduma yake ya usafirishaji na u... Read More

Mtaji soko la DSE washuka kwa 4%

KUPUNGUA kwa bei za makampuni mbalimbali kumechangia idadi ya mtaji wa soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kushuka kwa asilimia nne. ... Read More

Waliofunga barabara ya Kawawa watiwa mbaroni

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia wananchi kadhaa, wakituhumiwa kufanya fujo na kufunga barabara ya Kawawa kwa muda na ... Read More

Kumbukumbu la Blogu