Kurasa

Ijumaa, 19 Februari 2016

Baada ya Headline za Chui na Tembo nchini India, hii ndio idadi ya Simba wanaoripotiwa kuingia mtaani Kenya


February 8 nchini India, Chui alitengeneza headline baada ya kuingia kwenye majengo ya shule na kujeruhi wanafunzi 6, siku tano mbele headline ziliendelea India baada ya  Tembo kuingia mtaani na kufanya uharibifu wa mali za watu.
Leo February 19 2016 nchini Kenya  Maafisa wanyama pori wanawatafuta Simba 6 wanaripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyama pori ya Nairobi National Pack na kuripotiwa kuelekea mji wa Langata nchini humo.
 Maafisa hao wametoa namba za simu kwa wananchi watakazoweza kupiga bure kwa ajili ya kuwasaidia kama watawaona Simba hao . Leo asubuhi maafisa wanyama pori  wameingia kwenye makazi ya  mji wa Langata kwa ajili ya msako wa Simba hao.

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

Kumbukumbu la Blogu